Sunday, November 10, 2013

TAKE ONE N ACTION............

huyu ni muigizaji mkali wa movie ya TAMPTATION anaitwa DIAMOND PLATNUMZ hapo ni anaonyesha action tu sio maneno mingi..
  Diamond wa temptation movie ndani ya madini mazito ya njano.
 
 
 hapa chini huyu ni Genevieve nnaji muigizaji kutoka Nigeria, yeye hataki maneno ni matendo tu, saa aliyovaa ni Rolex ya dola 25,000
 
 
 Aaaaaaand actiooon......... YELLOW CHANEL CLUTCH BAG DOLA 10000. unalakuongeza??????
 
 
 hapa chini dada mweupe ni Amber Rose akiwa Nigeria, na pembeni yake ni muigizaji INI EDO naye hayuko nyuma mezani hiyo kitu nyekundu ni CHANEL PORSE  DOLA 10000.... dola elfu kumi za kimarekani tu.....

No comments: