Huyu ni DESMOND ELLIOT ambaye anakuja na movie mpya itakayotoka tarehe 15 mwezi huu movie inaitwa FINDING MERCY. producer, director na staring wa movie hii ni yeye mwenyewe Desmond, ingekua bongo wangemchamba JB NA RAY. ni hivi kwa Africa kutokana na mapato madogo wanayopata ma producer wa movie inalazimika wenyewe ku cover maeneo yote, kuliko kuweka fungu la kuwalipa watu watatu wakati we mwenyewe unamudu kazi zote ndo maana kaka zetu wakina JB wanajioneaga ni bora wabane matumizi na Nigeria na Ghana ni hivyo hivyo.
huyu ndio DESMOND ELLIOT
na hii ndio cover photo ya movie.
movie hii itakua inahusu wanaume wawili ambao hawajaoa ila kila mmoja anamtoto, sasa makasheshe yale ya malezi na ma baby mamas ndio story yenyewe ya movie. Ndani ya movie watakuwepo mastar wengi kama RITA DOMINIC, CHIOMA na mshindi wa big brother wa mwaka gani sijui, namjua jina tu anaitwa UTI NWACHUKWU na yeye atakuwepo kajaa tele kwenye hii movie ya FINDING MERCY.
No comments:
Post a Comment