Thursday, November 7, 2013

MUIGIZAJI WA NIGERIA TONTO DIKEH ASHUKIWA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMZIKI DBANJ

                                          

Habari hizi zimeenea kufuatia kitendo cha wawili hao kuonekana maeneo mbalimbali wakiwa wawili, pia inasemekana Tonto huonekana nyumbani kwa Dibanj mpaka usiku wa manane na wakati mwingine hulala huko huko, walipoulizwa Tonto alikiri kulala na kushinda kwa Dibanj, lakini alisema hufanya hivyo kwasababu hivi sasa anarecord nyimbo yake mpya kwenye studio ya Dibanj iliyopo humo humo nyumbani kwake.

No comments: