Wednesday, November 13, 2013

KAREENA KAPOOR NA SAIF ALI KHAN

Hawa ni mastar wa Bollywood waliooana mwaka jana. Kareena ndo star anayelipwa hela nyingi kwa sasa Bollywood, na ameshacheza movie nyingi sana, moja ya movie alizocheza ni DON pamoja na ASOKA.



No comments: