Hawa wawili walivuma sana na uhusiano kiasi cha watu kuhisi kwamba watafunga ndoa, lakini hivi juzi uvumi wa ndoa ulivyoenea sana Jim akaamua kuandika kwenye twitter kwamba huo uvumi sio wa kweli na hategemei kumuoa Nadia, maskini binti wa wa watu kuona hivyo nae akaamua kufuta picha zote za Jim na yeye kwenye.
No comments:
Post a Comment