Hapo chini ni msanii wa bongo movie LULU na msanii wa Ghana VAN VICKER
Mwenye nguo ya njano ni msanii wa Nigeria NGOZI EZENEOU na blogger STELLA TILYA
Mwanababu hapo chini ni msanii nguli wa Nigeria OLU JACOB na blogger STELLA TILYA.
Anayepakwa ma poudaaa hapo ni msanii wa Nigeria RAMSEY NOUH na msanii wa bongo movie MAYASA MRISHO.
Hapo kati ni STEVEEN KANUMBA marehemu na msanii wa Nigeria RAMSEY NOUH
Mrembo hapo ni msanii wa bongo movie IRINE PAUL na msanii wa GHANA VAN VICKER
VAN VICKER msanii wa Ghana akiwa na wasanii wa bongo.
VAN VICKER akifurahi na wasanii wa bongo
No comments:
Post a Comment