Hii movie inaitwa THE CONJURING, Director wa movie hii ni JAMES WAN, na mastering ni PATRIC WILSON na VERA FARMIGA.
movie hii imetoka October mwaka huu na imesambazwa na compuni ya WARNER BROS. hii ni movie ya kutisha sana yani ukiitazama itazame asubuhi manake usiku hutaweza kulala.
No comments:
Post a Comment