tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Saturday, November 16, 2013
STRONGER THAN EVER
Haya kuna post nilitoa kama week mbili zilizopita ilikua inaonyesha picha za mkuigizaji wa Hollywood Will Smith akiwa na binti wa miaka 23 ambae inasemekana walikua na uhusiano, habari hiyo ilimake headlines kwasababu Will ni mume wa mtu, na mkewe ni muigizaji pia anaitwa Jada Pinked, sasa basi, baada ya siku kadhaa, watu tukajua mke wa Will atatangaza devorce ya nguvu, eh mambo yamekua vingine, juzi kati familia nzima ya Smith ilionekana ikisherehekea birthday ya kijana wao wa kwanza, tena Will na Mkewe Jada walionekana wenye furaha na mapenzi tele, watu imebidi wakae kimya, lakini hii si mara ya kwanza, hawa wanandoa huwa wanatuhumiwa kucheatiana mara kwa mara, lakini baada ya tuhuma hujitokeza hadharani wakiwa na furaha, ndoa yao ni moja kati ya ndoa kongwe Hollywood, ndoa yao inamiaka 16, inasemekana kwamba eti wawili hawa wako kwenye open relationship, yani kila mmoja kampa uhuru mwenzie wa kua na mtu pembeni, ndo maana Will au Jada aki cheat hakiwaumi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment