Wednesday, November 13, 2013

CLASSIC MOVIE....

Hii movie inaitwa PRETTY WOMAN, yani movie hii ilitingisha sana dunia miaka ya 90. Director  wa movie hii ni Dire Garry Marshall, movie hii ilichezwa na RICHARD GERE pamoja na dada mwenye smile ya haja JULIA ROBERT.
                                                            

                                                           COVER
 
 
                                                  RICHARD GERE NA JULIA ROBERT


 

 

Kwenye hii movie Julia aliigiza kama changudoa, na Richard aliigiza kama jamaa tajiri, kwa hyo Richard alimkodi Julia ili awe anamsindikiza kwenye mikutano yake na hafla mbalimbali na baada ya hapo wakatokea kupendana kweli, Julia alimudu sana kuigiza kama mwanamke asiye na class,

No comments: