Saturday, November 2, 2013

RIDDICK........MOVIE NYINGINE MATATA YA VAN DIESEL

Yule mkali wa zile movie za FAST N FURIOUS anayeitwa VAN DIESEL sasa anakuja na movie jipya linalokwenda kwa jina la RIDDICK. Movie hii iliyotoka siku chache zilizopita, ni science movie na producer wa movie ni VAN DIESEL mwenyewe huku staring akiwa ni yeye mwenyewe VAN DIESEL.
                                                          VAN DIESEL
 
Hii picha hapo chini inaonyesha jinsi cover la movie lilivyo, director wa movie hii ni DAVID TWOHY.

 
Hapo chini ni siku movie ilivyokua inashootiwa, mwenye kipara ndio mzee wa kazi mwenyewe VAN DIESEL akifwatilia kila kitu kinavyoendelea ili wabongo tupate vitu vya uhakika........ (naskia bongo ndo wateja wa movie zake kuliko nchi nyingine..........natania)

 
na hiyo picha hapo chini VAN DIESEL ndo yupo mzigoni.

 

 
Movie hii ya RIDDICK imetumia kiasi cha dola million 38 mpaka kukamilika. na ni movie ya dakika 118. Na universal studio ndio moja ya wasambazi wakubwa wa movie hii, na inasemekana movie hii ilianza kutengenezwa mwezi wa kwanza mwaka jana na kumaliza mwisho wa mwezi wa tatu mwaka jana hiyo hiyo.



No comments: