Saturday, November 16, 2013

NIGERIAN ACTRESS STEPHANIE OKEREKE


Huyu ni star wa siku nyingi wa maigizo huko Nigeria anaitwa Stephanie, hapo wanaonekana ni wenye furaha kabisa na mumewe Linus, Stephanie na mumewe walifunga ndoa ya kukata na shoka huko Ufaransa mwaka jana, yani ndoa ya hawa ilivyokua ya kifahari mpaka sasa hakuna muigizaji aliyefanya sherehe kubwa ya harusi kuwapita hawa,

No comments: