Wema analalamikiwa sana kwa kupenda sale sale maua na mashoga zake, wewe unaonaje? na sawa kwa watu ambao ni ma star kuvaa sare sare? au je? inatakiwa star akitoka nje basi kila mtu aseme waoooo kwa kua star katoka unique na kapendeza kuliko yeyote katika eneo la tukio? kuvaa sale sale kunashusha hadhi ya ustar? mi sijui niamue nini ila kwasababu naona watu wanalalamikia sana sare sare maua nikaamua niilete humu.
3 comments:
mi naona ukiwa star lazima ujitofautishe sasa ukivaa sare duuhh unakua waajab wema she is pretty lazma ajue kujieka unique everyday
NIKWELI UKIWASTAR HAYO MAMBO YASARESARE WAACHIE WASWAHILI.MINAMPENDASANA WEMA ILA HAYA MAMBO YASARE SIJUI KAYATOA WAPI KWAKWELI WALA HAIPENDEZI.HAYOWAACHIE WAMAMA WASWAHILINI.WEMA BADILIKA WEWE NI MISS TZ SIO MAMA MUUZA MANDAZI,BADO UNASWAHILI SANA NDANI YAKO.UTADHANI HUJAENDA SHULE BWANA.PIA ACHA KUBWETEKA NAKURIDHIKA UKIPATA BWANA UNAEMPENDA HUWA UNAJISAHAU SANA .MWANAMKE UNALALA MPAKA SAASITA MCHANA ALAFU UNAINGOLEA KABISA KWA INERVIEW ZAKO.SHAME OF U GIRL.TAFUTA KAZI UFANYE PIA USITEGEMEE MOVIES ZAMUSIMU.ANGALIA WENZIO WANAVYOJITUMA.USILEWE SIFA SASA HIVI KILA MTU ANANKUANGALIA WEWE MAANA MWANAUME ULIENAE ANAJITUMA NA NI STAR PIA ,UKIENDELEZA UZEMBE JAMAA ATAVUTIWA NA WADADA WASOMI WACHAPA KAZI AKUKIMBIE TENA.JAPO SIOMBEI HILO.PLS WAKE UP WEMA B4 IS TOO LATE.UMRI HAUGANDI HUO.JAMBO LAPILI JITAHIDI KUVAA NGUO ZINAOENDANA NA MWILI WAKO NGUO FUPI HAZIKUPENDEZI MIGUU HIYOO.
sare sare ni uozo mtupu mi namshangaa wema sijui yukoje,akipata shoga basiii atanunua pea mbili mbili ili wawe sare sare na huyo shoga,umbulula mtupu,iam not digging on her at all,ushamba mtupuu
Post a Comment