IRINE ACHA KUJIDANGANYA, UTAKAE DUMU NAE NI MUMEO MAANA MMEFUNGA NDOA YA KANISANI KWA HYO WEWE NA NDIKU NI MPAKA KIFO KIWATENGANISHE. hata ukizunguka na viserengeti, Kilimanjaro na ndovu, still wewe unahesabika ni mke wa mtu.
tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Friday, May 30, 2014
IRINE UWOYA NA MAHABA NILIPUE KAMA BOKO HARAM
IRINE NA MSAMI
Muigiza mwenye mvuto wa haja wa Bongo movies ambaye ni MKE WA NDOA YA KANISANI, hivi sasa anamahusiano na Serengeti boy anayeitwa Msami, Serengeti huyo inasemekana yupo kwenye kundi la vipaji la THT, Irine ambaye mumewe wa ndoa anayeitwa Hamad Ndikumana anayeishi Rwanda, inasemekana kafa kaoza kwa Serengeti boy wake huyu wa sasa, Irine alipotea sana kwenye vyombo vya habari lakini sasa karudi kwa kasi na hii habaree, picha na hizi habari nilizisikia lakini nikawa nashindwa kuzirusha manake nilijua wanasingiziwa ikizingatiwa Irine ni mke wa mtu, lakini kilichonifanya nirushe ni baada ya kusikia Irine akihojiwa na Sudy Brown wa clods fm na akakubali tena akasema atadumu na Serengeti wake na anampenda sana, Sudy alimuuliza je huyu utadumu nae au na yeye utakaa nae muda mfupi kama ulivyokaa na mumeo Ndikumana Irine akajibu huyu atadumu nae muda mrefu kwasababu kampenda.
IRINE ACHA KUJIDANGANYA, UTAKAE DUMU NAE NI MUMEO MAANA MMEFUNGA NDOA YA KANISANI KWA HYO WEWE NA NDIKU NI MPAKA KIFO KIWATENGANISHE. hata ukizunguka na viserengeti, Kilimanjaro na ndovu, still wewe unahesabika ni mke wa mtu.
IRINE ACHA KUJIDANGANYA, UTAKAE DUMU NAE NI MUMEO MAANA MMEFUNGA NDOA YA KANISANI KWA HYO WEWE NA NDIKU NI MPAKA KIFO KIWATENGANISHE. hata ukizunguka na viserengeti, Kilimanjaro na ndovu, still wewe unahesabika ni mke wa mtu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment