Wednesday, May 14, 2014

LULU MICHAEL KABLA NA BAADA


                                                      LULU WA ZAMANI



Ka Lulu kamepitia mambo mengi ambayo kwa kawaida wengine humaliza kuyapitia wakifika hata miaka 50 na wengine mpaka wanakufa wanakua hawakuyapitia, lakini kenyewe kakiwa kabla hakajafika miaka 20 kaliishi maisha yote, nilichokipenda kwake ni jinsi kalivyo change in one sec, yani kamekua CLASSIC, kakihojiwa kanajua kujibu maswali vizuri, hakafanyi starehe za ovyo kama zamani, hata kwenye mitandao kako happy kila siku hakana mambo ya majungu na dharau kama wengine na mashow off ya kijinga kama wengine, yani kamekua ka LULU kweli kama jina lake, na kingine baada ya Wema Sepetu kenyewe ndo kanafuata kwa mauzo yani weka habari yake tu itanunuliwa kama njugu. TAZAMA PICHA ZA HAPO JUU HALAFU TAZAMA ZA HAPA CHINI, UTANIAMBIA KWELI KA LULU KAMECHANGE NA KANAPENDEZA, NA UZURI NI KWAMBA UMRI WAKE UNAMRUHUSU NA ANAMUDA MWINGI WA KUFANYA MAMBO MENGI MAISHANI,


                                                    LULU WA SASA






1 comment:

Anonymous said...

muuaji tu huyu hana lolote