WASTARA WA SAJUKI AVISHWA PETE YA UCHUMBA HUKO LONDON
Ehhhhhh unaambiwa jambo likitokea kwenye maish a yako hata liwe lakuumiza vipi jua Mungu anamakusudi yake, na jua ya kwamba unaweza kulia na kukufuru kumbe Mungu alichokuandikia mbele ni kikubwa kuliko hicho kilichoondoka, huyo hapo mwanadada mwenye upendo wa dhati muigizaji Wastara baada ya kufiwa na mumewe mpendwa Sajuki hivi sasa kapata mchumba na juzi kavishwa pete ya uchumba huko London, Mungu akutangulie Wastara Mungu amekuandalia mengi mazuri machozi yote uliyoyatoa utayasahau na yatabaki historia tu.
No comments:
Post a Comment