Wednesday, May 21, 2014

JACKLINE WOLPER KACHARUKA KASHFA YA USAGAJI, KAMTOLEA UVIVU ALIYEMCHAFUA

                              JACKLINE AKIWA NA MAVAZI YA KIUME
JACKLINE AKIWA NA VAZI LA KIKE
Habari motomoto ni kwamba, muigizaji Jackline Wolper ambae post iliyopita niliwaambia kuna habari eti kwamba ni msagaji na picha za anayesagana nae zikawekwa na mi nikazimuvuzisha humu, kama nilivyosema mwanzo hizo ni habari tu lakini sijawahi kumshuhudia akisagana wala kua karibu na mtu akaniambia walisagana nae kwa hyo mimi siwezi kumtuhumu mtu ambaye sijashuhudia, ila huko kwenye hilo chimbo la habari wanasema kwa uhakika kabisa kwamba Jackie msagaji.
SASA BWANA, JACKIE KAAMUA KUWATOLEA UVIVU, HUYO ALIYEMCHAFUA NI MMILIKI WA PAGE YA US.........NGA YA INSTAGRAM, SASA JACKIE AKAMBAMBA HUYO MWENYE HIYO PAGE KACOMMENT KWENYE PICHA YA MWANAMZIKI WA BONGO FLAVOR, Jackie akaamua kutoa duku duku lake, akaamua kumuelezea huyo mwenye hyo page kwa mba " nilikua nakutafuta sana sasa nimekupata, hivi unavyosema mi msagaji nimewahi kukusaga au unasema tu, hivi kwanini kila kukicha Jackie hivi Jackie vile" hayo ni baadhi tu ya maneno lakini Jackie katiririka vya kutosha, anasema amechoka kuzushiwa hiyo skendo kwasababu anawazazi hivyo habari zinapowafikia wazazi haileti picha nzuri,


HAYA, SIJUI NANI MKWELI KATI YA JACKIE AU USIPOJI.........NGA, NINACHOJUA MIMI NI KUWALETEA YALIYOJIRI TU NA KUSEPA.     NI HAYO TUUU

No comments: