Sunday, May 18, 2014

DIAMOND PLATINUMZ MPAKA WANAIGERIA WANAMPIGIA KURA YEYE HIVI SASA ANAONGEZA

Photo: morning Afrika,wakati unajiandaa kuanza kupiga kura za BET,kumbuka pia kuendelea kunipigia kura za MTV
kwa kuclick link hii
http://mama.mtv.com/vote-best-male.html
 kisha ufate maelekezo
lakini pia usisahau kunipigia kura tuzo za Kora kwa kulike  page yao ya Kora Afrika kisha coment kwa kuandika jina langu.ahsanteni na siku njema.

JAMANI SHEMEJI DIAOMOND NDO ANAONGOZA KWA KURA NYINGI BET AWARDS KIPENGERE CHA INTERNATIONAL ACT AFRICA.  DAVIDO KATUPWA KULEEE YANI NAONA MPAKA WANAIGERIA WANAMPIGIA DIAMOND, MAANA WANIGER WALIVYOWENGI NA WAMESAMBAA KILA NCHI HUKO MAREKANI TU WAMEJAA KIBAO LAKINI UNAAMBIWA DIAMOND ANAONGOZA NA UKIACHA HYO DAVIDO KAANZA KUJULIKANA AFRICA LONG TIME LAKINI KIJANA DIAMOND KAMFUNIKA, SAFARI HII P SQUARE WATAKUTAMBUA WE NI NANI SHEMEJI NA KANYE NA JIGGA LAZIMA WAKUTAFUTE ILI ANGALAU UFIKIRIE KUA MEMBER WA ILE CHAMA YA SHETANI LAKINI NAJUA KIJANA WE NI MUISLAM SWAFIII UTAWAAMBIA HELL NO.



No comments: