Mimi ninavyompenda Wema jamani, yani Wema ndo sababu ya mimi kuanzisha blog inayohusu movies, anyway, WEMA KATHIBITISHA KWAMBA ATAKUWEPO BET AWARDS SAMBAMBA KABISA NA DANGOTE, jana kwenye ukurasa wake wa insta alitupia picha za dada zake waishio Marekani na akawaambia kawamiss ila wataonana soon kwani BET inakaribia, mimi moyo tuliiiii nilivyosoma huo ujumbe, nikaanza kuimagine vitu sasa, Wema na Chibu, pembeni Kim na Kanye, pembeni Be na Jay, kingine sasa, Leo bidada kasema anaanza Gym hiyo yote ni moja ya maandalizi yani huyo Wema umbo lake la zamani la umiss Tz lilirudi hivi kutakua na Rihana au Beyoncé kweli hapo kwa carpet nyekundu wajameni, RIRI NA BE wanaweza kumshinda Wema kwa pesa lakini kwenye swala la UMBO wema kawaaacha mbalii kuna mtu anabisha?? Kim mwenyewe na wowowo lake fake akiliona la Wema atashaa, kingine sasa nikawa nawaza, jinsi Wema atakavyokua anatutupia mapicha kuanzia anavyosepa mpaka siku ya tukio ila Wema ananiudhi hajuiagi kudolishia sana mambo yake kwa hyo natamani waende na mpiga picha wao awe anaturushia picha za kila wanachokifanya kama walivyoenda Ntwara(MTWARA), kingineeeeeeeeee ah nimesahau nikikumbuka ntarudi tena.
No comments:
Post a Comment