Sunday, May 11, 2014

NANI ANAONGOZA KWA UREMBO BONGO MOVIES?


Wapenzi kesho kutwa natoa list ya kumi bora ya warembo wa Bongo movies, kitakachoangaliwa ni urembo wa umbo,sura, rangi ya ngozi na jinsi gani msanii anakwenda na fashion, nitumie msg kama kuna yeyote unaempendekeza, yani kama unalist yako nitumie msg, week mbili zilizopita nilitoa tano bora ya wanaume na aliyeibuka kidedea ni muigizaji Slim Omary, tena nililisahau jina lake kwa hyo namba moja akawa Ray yani nilitumiwa msg na watu haraka nikakumbushwa kwamba Ray hana nafasi kwa Slim Omary.




                                                  SLIM OMARY

JE KWA WANAWAKE NANI UNAFIKIRI NDO ANAWAKIMBIZA BONGO MOVIES?

1 comment:

Anonymous said...

Wanaoongoza kwa urembo .
Batuli
Irene uwoya
sabby angel
Nargis Mohamed
lulu
Wolper



Hawa ni wasichana ambao hata bila make wanapendeza tu