Wednesday, May 21, 2014

KUBWA KULIKO KUHUSU JACKLINE WOLPER.. KAMA NI KWELI BASI DUNIA INAISHA.





Uuwiii, hivi ni kweli hili jamani kuhusu JACKLINE WOLPER au anasingiziwa, nimekutana na habari inayomtuhumu muigizaji Jackline Wolper kwamba ni msagazi na anasagana na huyo dada hapo kwenye picha,na huyo dada inasemekana ni mwanafunzi wa CBE na inasemekana anawasaga waschana wenzake sana, mimi sitaki kuamini kwamba ni ukweli maana sijawashuhudia kwa macho, ila kwa mfano ndo ikawa kweli jamani tumuogope Mungu jamani, haya mambo ya kuiga si mazuri, huko majuu najua wanatetea lakini Africa hatutetei na pia dini haziruhusu kabisa,Jackie najua ni mskristo tena mlutheri mwenzangu najua anajua kanisa halitaki hii kama ni kweli ni bora aombewe kuliko kubeba laana hii. Ila kama si kweli anasingiziwa Nampa pole maana kusingiziwa nakwenyewe kunauma sana.

No comments: