Thursday, May 1, 2014

SINTAH NA MANGE KIMAMBI LEO NGOMA DROO







MANGE KIMAMBI


                                                         SINTAH
Dada zangu ninaowapenda ila wao hawaivi chungu kimoja, Sintah na Mange leo wamejikuta wamepost kitu kimoja kwenye blog zao, kwasababu nawapenda huwa lazima niingie kwenye blog zao kila siku, mh leo naingia nakutana na habari moja kwa wote, na hii kitu ilishatokeaga tena kipindi cha nyuma, hapa naona hawa watu wanaendana kwa mambo mengi ndo maana huwa wanajikuta wanapost kitu kinachofanana, nawaombea wapatane siku moja.

No comments: