tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, May 19, 2014
JAY ZEE NA BEYONCE SHORT MOVIE "RUN"
Hii ni kama ka short movie au ka trailer walichofanya Jay zee na my wife wake Beyoncé, Beyoncé ambaye pia mara nyingine huwa anaigiza movie ndo maana namuweka humu, mwezi ujao atakua kwenye tour yeye na mumewe tu, yani kutokana na mashabiki wanavyopenda kuwaona wakiimba pamoja basi wameamua kufanya tour yao kwa pamoja ambapo watatumbuiza sehemu mbali mbali huko Marekani, hako ka short movie wamekatoa juzi ni kama kuwafanya watu wawe attention na tour yao lakini in my opinion hawakutakiwa hata kujisumbua na yote haya yani hata wangetoa tangazo siku moja kesho yake watu wangejaa uwanjani kuwatazama, na unaambiwa ticket za show yao ni gharama sana tickert za kawaida ni dola300 na VIP zinakwenda mpaka dola 500, ndani ya short movie hii kuna kichwa kikali kama DON CHIEDLE, EMBU ICHECK HAPO MWENYEWE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment