Hao warembo hapo mmoja ni Zamaradi ni mtangazaji wa kipindi cha movie kinaitwa take one, na mwingine ni sweetheart wa Bongo movies anaitwa Wema Sepetu, sasa kutokana na ugomvi aliokua nao Wema na muigizaji mwenzake Kajala, Zamaradi aliamua kumuhoji Kajala ili kujibu shutuma zilizokua zikitolewa na watu kuhusiana na chanzo cha ugomvi, Kajala akajieleza na watu wakamuelewa. LAKINI KWA SISI WAANDISHI KILA STORY INA PANDE MBILI, KWA MAANA HIYO PANDE MOJA IKITOA STORY LAZIMA HIYO STORY TUI BALANCE, MAANA YAKE LAZIMA NA MUHUSIKA WA UPANDE WA PILI NAE AHOJIWE, HIVYO BASI, ZAMARADI KAMA MASHABIKI WA HAWA WASANII YANI WEMA NA KAJALA WANGEPENDA PIA KUSIKIA YA MOYONI KUTOKA KWA WEMA HAPO NDO KIU YAO YA HUU UGOMVI MZIMA ITAKAPO KATIKA, ikumbukwe kwamba hawa ni wasanii na wanamashabiki hivyo wanapenda kufwatilia kila kitu kuhusu wao ndo maana wengi wanatamani na Wema ahojiwe. ZAMARADI TUFANYIE MAMBO BASI MADAM NAE AHOJIWE KIPINDI CHA MOVIE MAARUFU HAPA TANZANIA NI CHAKO HIVYO UTAKUA UMEWATENDEA HAKI WEEK IJAYO UKIMUHOJI NA WEMA.
3 comments:
Huyu zama na timu yake hana lolote wanapenda kushadadia mambo ya watu mbona yeye ana ugomvi na ray c hajahojiwa? Au bwana wake na jide mbona hawajahojiwa hk kidada cha hovyo sana
Akimaliza kuhojiwa wema
tunataka ahojiwe juju na mamake kwanini mama juju anaugomvi na ray c?
Mi naona bora wema aendelee kumpotezea kajala hivyo hivyo!
Post a Comment