Monday, May 19, 2014

ETI WAKINA WEMA SEPETU WAMEIBA STORY YA HII MOVIE

Eti inasemekana kwamba, hii movie iliyochezwa na Wema Sepetu, Jb pamoja na Cheni inayoitwa 14 days inatokana na movie ya kimarekani iliyotengenezwa mwaka 2008, eti inasemekana kwamba story yote wameichukua kutoka kwenye hyo movie ya kimarekani inayoitwa FIREPROOF. mimi sijawahi kuiona hii movie, ila itabidi nikazinunue zote mbili niziangalie nione kama ni kweli au wanasingiziwa, PIA SIJUI HII YAKINA WEMA IMETOKA LINI, MANAKE YA KIMAREKANI IMETOKA MWAKA 2008 PENGINE YA KINA WEMA IMETOKA MWAKA 2006 KWA HYO WAMEREKANI NDO WAMEWAIGA WAKINA WEMA YOTE YANAWEZEKANA, sasa kabla mapovu ya mdomo hayajanitoka ngoja kwanza nikaicheck nipate ushahidi na wewe mpenzi wa movie, kama umewahi kuziona hizi movie zote mbili unaonaje? ni kweli au wanasingiziwa? au wamarekani ndo wezi?

HII HAPA CHINI NDO MOVIE YA FIREPROOF YENYE STORY INAYOFANAN NA MOVIE YA 14 DAYS YA KINA JB.






No comments: