tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Friday, May 2, 2014
WAANDISHI WA GLOBAL HIZI HABARI MBILI KUHUSU WEMA ZIMEKAAJE?
Ishu hiyo ambayo wapendanao wengi huifanya kwa faragha, ilijiri hivi karibuni maeneo ya Bamaga- Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo ni hatua chache kutoka kwenye Ofisi za Global Publishers ambao ni wachapishaji wa Magazeti Pendwa ya Amani, Risasi, Uwazi, Ijumaa, Championi na Ijumaa Wikienda.
ILIVYOKUWA
Kwa mujibu wa watu walioshuhudia tukio hilo, Wema alikuwa kwenye shughuli zake za kila siku maeneo hayo ambapo alikuwa ameegesha pembeni gari lake la rangi ya pinki aina ya Toyota Lexus Harrier bila kujulikana alikokuwa ameelekea
HII NI ILE HABARI ILIYORIPOTIWA KUHUSU WEMA NA DIAMOND KUDENDEKA HADHARANI,HAYO MANENO HAPO JUU NDO NIMEYAKOPI KUTOKA KWENYE GAZETI, YANASEMA HII SIKU WEMA ALIEGESHA GARI LAKE NA ILIKUA HAIJULIKANI WANAKOELEKEA.
NA HII PICHA HAPO JUU ILIKUA FRONT PAGE INAONYESHA JINSI WEMA ALIVYOKWENDA GLOBAL KUCHUKUA ZAWADI YAKE YA KUSHINDA SEXIEST GIRL, sasa nilikua najiuliza, hizi nguo ambazo zimevaliwa kwenye ile picha ya juu ya Wema akidendeka na Diamond si ndo hizo hizo zilizovaliwa kwenye hyo picha Wema akipokea zawadi ya hela, kwenye kudendeka wameandika Wema alipaki gari lake maeneo ya bamaga karibu na ofisi za global na haikujulikana alikua anaenda wapi, sio ndo alikua anakuja kuchukua zawadi kwenye ofisi za global? manake nguo ni zile zile kama za picha ya kudendeka, nywele viatu vyote ni kama vya kwenye picha ya kudendeka, au Wema alirudia hizo nguo na viatu na nywele? ila inawezekana inawezekana ni kweli Wema alirudia kila kitu,
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Mimi cjaona cha ajabu hapo na c ajabu ilikua kiss tu ya kawaida. Pia ni jambo ambalo wengi wetu tumekua tukilifanya na wapenzi/waume/wake zetu pindi tunapoagana/tunapokutana. Ila sasa hao global ndo wakuzaaaaji wa mambo balaa. Ama kweli Bila Wema global, mkono kwenda mukinywa ni ngumu kwao..
Post a Comment