Thursday, May 1, 2014

WEMA SEPETU NA DIAMOND MAHABA NILIPUE










Yani mimi sio shabiki sana wa Wema lakini jamani haka kabinti sijui kananini yani nitake nisitake lazima navutiwa kukaangalia, wakati mwingine nasema week hii sipost kitu cha Wema lakini wapi najikuta napost kwasababu kila anachofanya najikuta navutiwa nacho,Diamond ndo usiongee kabisa, kwa kweli hii mutu mbili hii hakunaga Bongo nzima. SALUTE KWAKO MADAM

1 comment:

Anonymous said...

Yaani kwakweli hawa watu ni balaa,nawapenda hadi naumwa.