Wednesday, May 14, 2014

LUCY KOMBA APATA MCHUMBA WA KIZUNGU




Huyo ndo Lucy Komba muigizaji wa siku nyingi Bongo hivi sasa yuko nchini Denmark kwa muda kama wa mwezi sasa na hizo ni baadhi ya picha ambazo amekua akizirusha kwenye mtandao. NI HAYO TUUUUU

No comments: