Tuesday, May 20, 2014

UMBEA HUOO NAWALETEA KUHUSU MAWIFI WA WEMA SEPETU.

Yaliyojiri leo kwenye mtandao wa insta ni haya, yanawahusu dada zake mwanamziki Diamond, mwanamziki huyu naweka habari zake kwasababu ni mchumba wa muigizaji Wema Sepetu, ngoja nitiririke na umbea sasa.
                                     HALIMA KIMWANA NA DIAMOND
Ni hivi, kwenye page ya teamuk..................wazi, leo wameweka habari kwamba, eti madada wa Diamond hivi sasa ni wanakaugomvi kanakoendelea, eti huyo hapo juu Halima analalamikiwa na dada wa damu wa Diamond kwamba amekua benet sana na Diamond na huwa akimuomba msaada Diamond basi Diamond anatoa haraka sana, eti yani Diamond hapindui kwa Halima,

DIAMOND NA DADA YAKE WA DAMU ESMA
Anayetoa shutuma hizo za Diamond kumpendelea Halima eti ni huyo hapo juu dada yake Diamond wa damu anayeitwa Esma, eti Esma analalamika kwamba akimuomba kitu Diamond atamzungusha lakini Halima akikohoa tu Diamond anatoa, Esma eti analalamika kwanini yeye dada wa damu asisikilizwe na badala yake dada wa hiyali ndo asikilizwe sana.

PENNY ALIKUWA GIRLF WA DIAMOND ZAMANI
Esma na Halima ni mashosti sana wa wifi yao wa zamani Penny, sasa eti inasemekana kwamba Penny anaishi na Esma, eti wawili hao wanaukaribu wa hali ya juu sana, kiasi kwamba Halima imebidi awatenganishe eti kwasababu ukaribu wao ulikua umezidi sana, kwa hyo kuona hivyo Esma akachukia na kuamua kubeba kilicho chake na kusepa, kuona hivyo Penny nae akafuta picha zote za esma kwenye page yake, kwa hyo mgawanyiko umetokea kwa madada na wifi huyo wa zamani, hapo kabla mawifi hao walijiungaga na kuwa mabeste sana na walikua wakila bata pamoja na kushirikiana kwenye kila kitu.
HUO UBUYU NIMEUTOA INSTA NIKAONA NIWALETEE WALE AMBAO HAWANA ACCOUNT INSTA, NIMEUBEBA KAMA ULIVYO.




WEMA SEPETU

ANYWAY WAKATI HAYO YAKIENDELEA WEMA WETU IS VERY VERY HAPPY WITH HER FIANCE.

No comments: