
INASEMEKANA...MWIGIZAJI na Muongozaji filamu maarufu Bongo, Adam Kuambiana amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam kwa matibabu alfajiri ya kuamkia leo .
Marehemu alianguka chooni akiwa location katika hoteli ya Silver Rado iliyopo Sinza kwa Remy , Dar . Kabla ya mauti kumfika , Adam alikuwa akilalamika kuwa anasumbuliwa na tumbo .
PUMZIKA KWA AMANI ADAM KUAMBIANA, SIO SIRI ADAM ALIKUA BONGE LA DIRECTOR NA PIA ALIKUA NA UWEZO MKUBWA SANA WA MAMBO YA UANDISHI WA SCRIPT, TUTAKUKUMBUKA DAIMA ADAM.
No comments:
Post a Comment