O.M.G VICTORIA IM SPEECHLESS.
VICTORIA MISS HIGHER LEARNING MWANZA
Jamani sina hata cha kusema kwa jinsi nilivyo na furaha, mdogo wangu VICTORIA MTUI kwenye hizo picha kawa mshindi wa tatu miss higher learning, jamani she is so beautfull, kweli BLACK IS BEAUTY, ndo anaanza safari ya kwenda miss Tanzania, madesigner jamani wakina KIKI NA EVE COLECTION, ONENI HIKI KIFAA BILA KUSAHAU WADAU WA FASHION WENGINE, YANI SINA USEMI KWA MDOGO WANGU JAPO BLOG NI YA MOVIES LAKINI KWA KUA NI MDOGO WANGU NIMEONA NIMPENDELEE KUMUWEKA,
No comments:
Post a Comment