WEMA NA MAMA MKWE JANA WAKITOKA MASALOON NA MASHOPING UPO HAPO??
Haya wajameni nilikua nasikia kwenye zile team nyingine nyingine eti wanasema Wema hapendwi na mama mkwe, eti mama mkwe anampenda Penny mtalaka wa Diamond.
PENNY NA MAMA DIAMOND
Jamani wa mama mkwe wako hivi, hata kama akikupenda vipi siku mwanae akikuacha, halafu mwanae akamletea mkwe mwingine basi yule mkwe mpya akija na doti ya kitenge tu ujue kwaheri, yani mkwe mpya nae atapendwa na wazamani atasahaulika, kumteka mama mkwe akili ni kitu kidogo sana kwa mschana wa kiafrika, sasa wale waliokua wanasema ooooh Wema hapendwi, mama mkwe ndo kashatekwa hivyo NA KWA HILO WEMA KAMALIZA KILA KITU MAANA MOYO WA DIAMOND UKO KWA MAMA YAKE SASA KWA UELEWANO HUU WA WEMA NA MAMA MKWE HAKUNA KILICHOBAKI ZAIDI YA NDOA UWANJA WA TAIFA.
3 comments:
Mungu alivyomwema atanyoosha mkono wake
Mwacheni mama wa watu, hana kosa yy analetewa wakwe afanyeje? Hana choice anawakubali . Ila anatakiwa amshauri mwanae atukie
Vizabizabina sasa macho yamewatokaje na wamesonyaje sasa?
Post a Comment