Monday, May 26, 2014

LULU MICHAEL KAFANYIWA PLASTIC SUGERY YA PUA. ZAMA NDANI KWA UHONDO ZAIDI.

Hii picha hapa chini inamuonyesha LULU akiwa na pua mpya.
 

Na hapa LULU akiwa na PUA ya zamani



MH  NAWADANGANYA  NILITAKA  NIWAONE,  HIYO  PICHA YA JUU NA YA CHINI PUA ZA LULU  ZINAONEKANA  TOFAUTI  KWASABABU  YA MAKE UP, NIMEGUNDUA KUMBE  MAKE UP  INAWEZA  KUMBADILISHA  MTU SURA  KABISA NA AKAONEKANA ANAMACHO, PUA NA LIPS TOFAUTI NA ALIVYOZOELEKA.     

No comments: