TRAY SONGZ WEMA SEPETU
Kwa habari za hivi punde kutoka kwenye kituo cha EATV ambapo wanamuhoji muigizaji Wema sepetu, ni hivi, Wema kaulizwa ni mwanaume gani anaeweza kutikisa moyo wake ukiacha mpenzi wake Diamond, Wema kajibu yani hapa Bongo hakuna ila yupo Marekani ambaye ni mwanamziki TRAY SONGZ. Mh ila Madam naona kapita mule mule manake kiumbo kijana wetu Diamond anafanana na Tray pamoja na rangi.
na huyo hapo juu ndo Diamond mchumba wa Wema
No comments:
Post a Comment