Jacob Steven JB akilia kwa uchungu, JB na Adam walikua na ukaribu na walikua wakishirikiana sana kwenye kazi zao, na pia walikua wakipenda sana kutaniana, najua kuondoka kwa Adam ni pigo sana kwa Jb.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU ADAMU KUAMBIANA MAHALI PEMA PEPONI.
picha na Millard Ayo.com
picha na Millard Ayo.com
No comments:
Post a Comment