SINTAH
Masuper star wangu ninaowapenda Sintah na kaka manager wa beautfull onyinye Martin Kadinda, bwana hawa watu sikatai wanaweza kua na mapungufu yao lakini ni watu ambao si wachoyo wa maendeleo, yani kama kuna kitu cha maendeleo unataka wakuelekeze hawana uchoyo kabisa na wala hawana kuringa, wako open na wacheshi sana kumzoe mtu ni dakika moja, nawapenda vibaya mno yani mikogo yao huwa mwisho kwenye blogs maisha ya kawaida ni tofauti wako poa sana, ni watu ambao wamenipa chachu kubwa sana hata ya kuanzisha hii blog, nilikua nikifikiria ni jinsi gani ntaanzisha blog Watu waijue na waipende wakati mimi mwenyewe si maarufu wakati blogs nyingi za watu maarufu ndo zinajulikana, lakini watu hawa walinitia moyo sana na nikiwapigia simu kuwauliza chochote muda wowote wananielekeza, maisha ya siku hizi mtu akiona na wewe unaanzisha kitu kama chake ndo kwanza atakubania ili usije ukampita lakini kwa hawa watu ni tofauti kabisa na wala sijuani nao kiivyo je kwa ma beste zao si ndo watakua wema zaidi, NAWAPENDA BALAA MUENDELEE HIVYO HIVYO
No comments:
Post a Comment