Namba 1.
Imekamatwa na anayeshikaga namba moja kila shindano atakaloshindanishwa toka mwaka 2006 mpaka leo hyo ndo namba yake na si mwingine ni beautfull onyinye, madam, mama dangote, miss Tanzania 2006,
WEMA SEPETU NDO THE NUMBER ONE QUEEN WA BONGO MOVIES
2. LULU MICHAEL KICHUNA ASIYEJUA KUNUNA YE KILA SIKU ANACHEKA NDO ANAYEFUATA, KAPIGIWA SANA KURA BAADA YA WEMA.
3. KACHUKUA BATULI, MTOTO ASIYENAKASORO, MIGUU,SURA,UMBO, VYOTE PARFECTO.
4. KACHUKUA MALKIA WA WACHAGA JACKLINE WOLPER
5. KAJALA MASANJA HUYU NAYE SHAPE BOMBA,MIGUU BOMBA,SURA BOMBA HANA KASORO.
6. JOKATE MWEGELO, HUYU BWANA NI QUEEN WA SWAGG BONGO MOVIES NZIMA ANAJUA SANA KWENDA NA FASHION NA PIA ANAJUA KU MAINTAIN MWILI WAKE
7.IRINE PAUL
8. IKO KWA SHAMSA FORD, MTOTO ANARANGI NZURI LAKINI KINACHONIUAGA KWAKE NI SMILE YAKE, HUWA NAIPENDA SANA
9. SHILOLE MTOTO MTAFUTAJI KASHIKA NAMBA TISA,
10. IRINE UWOYA NDO KASHIKA NAMBA KUMI, IRINE BWANA NI MREMBO NA NAMKUMBUKA ENZI ZAKE WATU WALIKUA HAWANUNUI MOVIE KAMA IRINE HAYUKO.
Week ijayo mshindi wetu wa leo ambaye ni Wema atashindanishwa na mpinzani wake mkuu, nawashukuruni sana kwa kuonyesha mchango wenu mkubwa kwenye page yetu ya instagram.
No comments:
Post a Comment