tanzanitemovies blog is a blog that gives you the chance to know everything that happens in the movie industry. rahelimacdonald@gmail.com 0713-608524
Monday, May 19, 2014
WEMA NASEEB SEPETU
Picha ya Wema Dangote juzi akiwa club billicanas, mi nampenda Wema sana yani kama movie hajaigiza Wema siangalii kabisa, tena hapa katikati ambapo hakutoa movie na mimi nilifunga kuangalia movie za kibongo, Wema akicheza movie anakua yeye kama yeye, tofauti na masister duu wengine bongo movie wakicheza movie zao wanakua fake sana, akiongea akicheka akilia yani kila kitu fake ni tofauti na utakavyomkuta anacheka na kuongea mtaani, lakini Wema utakachokiona kwenye movie, na mtaani ndo hicho hicho na kwenye interview ndo hicho hicho, ukiacha Wema wako wale wakali wakina Riyama na Lucy Komba wale usiguse kabisa ni wakaree, lakini kwenye hili groupe la masister duu.com Wema anakimbiza mbaya.
ILA WEMA MDOGO WANGU NAKUPENDA SANA LAKINI HIVYO VIATU SIJAVIPENDA KABISA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
wema wema wema,nakupenda sana ila unaniangusha kupenda kuvaa vinguo vifupii sana maana hilo umbe lako hipps zinamabujamabuja haipendezi hata kdgo jamani.umenenepa sana hipi sizielewi mabujabuja nguo fupi zanini jamaaa?halafu miguu jamani wema simkosoi Mungu ndie muumbaji.ila kwanini unavaa nguo fupi.mbona nguo ndefu zinakupendeza saana sanatu.viatu vbaya sana sana kutokana na tumiguu twako twembambasana huna msimamizi wako akushauri mavazi jamani.
Post a Comment