Friday, May 2, 2014

WEMA NA DIAMOND LEO WAKITUA KATIKA AIRPORT YA MTWARA

   ROMY JONS MWENYE KANZU,MARTIN , WEMA THE QUEEN OF BONGO MOVIES NA MCHUMBA WAKE DIAMOND

         YANI MAPENZI YA HII MUTU INANOGA KWASABABU WENYEWE NI MARAFIKI LICHA YA KUA WAPENZI.



UWIII, WEMA KATOKELEZEA BALAA, WALE WAKUHESABU MICHIRIZI WAKO WAPI? MANAKE HAKUNA CHA MICHIRIZI WALA MICHARAZO NGOZI INAITA SHAPE SASA NDO CHICHEMI.

KWA AIEWAPENDA HAWA WATU KIUKWELI ATAKUA NA SIKU CHACHE ZA KUISHI MANAKE JINSI HAWA WATU WANAVYOPENDEZANA NA WANAVYOJUA KURUSHA WATU ROHO HIVI UKIWACHUKIA SI KILA SIKU UKIAMKA UTAKUA NI MTU WA KUNUNA TU, MANAKE UKIINGIA INTERNET UNAWAKUTA, UKIRUDI KWENYE MAGAZETI WAMO, KWENYE RADIO NA TV NDO KABISAAA, NI HAYO TUUUUUUUUUU

1 comment:

Anonymous said...

Hii ndo couple bhana siyo yule kifutundu hata pic zilikua zinagoma kupigika.