Sunday, May 11, 2014

MANGE KIMAMBI NA WEMA SEPETU KIBOKO YA MASTAR

                                                      WEMA SEPETU
MANGE KIMAMBI

Yani katika mastar hapa Tz wenye mashabiki wa ukweli ni hawa mtu na dada yake, sijawahi ona aisee, yani sijawahi ona star akatetewa kama hawa, yani ukigombana nao tu basi unalo litaibuka jeshi likushughulike mpaka utatamani kuhama mji, au kama unataka kua maarufu Tz basi anzisha ugomvi na mmoja wapo, sasa huwa najiuliza, je hawa watu wakikutanaga na mashabiki wao huko mitaani huwa wanawasilimia vizuri sana ndo maana wanapendwa namna hiyo na kutetewa sana inapotokea ugomvi?, au huwa hawana maringo kabisa wakiwa na mashabiki tofauti na watu wengine maarufu ambao huwa wananata kidogo kwa mashabiki, yani mpaka sasa sielewi hawa watu wanasiri gani inayowafanya wapendwe kiasi hicho na mashabiki.

NADHANI MTAKUBALIANA NA MIMI KWAMBA HAWA WAKICHOKOZWA BASI MPAKA MAGAZETI YATASIMAMISHA KAZI KUANDIKA UGOMVI WAO.

4 comments:

Anonymous said...

Kweli kabisa.Kuns watu Mwenyezi Mungu amewajaalia nyota kali.

Anonymous said...

Hapo umenena usiongee pumba kuhusu Wema sepetu jamani hadi matusi utatukanwa! nampenda sana Wema.

Anonymous said...

Huyo mange hana lolote

Anonymous said...

Ni kwsbb wema ameshaonewa sana,kashatukanwa sana!!ss watu wameamua kumtetea,ila mange hashuo tu