Sunday, May 4, 2014

DIAMOND WA WEMA HUU UVAAJI WA SKETI HUU WATOTO WETU WA KIUME KESHO TU WATATAKA NA WENYEWE SKETI.

Nadhani kila mtu anajua huyu ndo the King of Bongo flavor, manake jana kachukua tuzo saba, yani kaweka historia, nisiongee mengi manake blogs nyingi wameweka habari zao,
BABA CHIBU DANGOTE WETU TUNAKUPENDA HILO HALINA UBISHI, TATIZO KILA MTOTO HUKO MITAANI ANATAKA KUA KAMA WEWE, NA UKIWAAMBIA WAIMBE HAKUNA NYIMBO NYINGINE WANAZOZIJUA ZAIDI YA NGORORO, SASA BABA HUU UVAAJI WA SKETI HUU SI WATOTO WETU WA KIUME HUKO MITAANI ITAKUA TABU, WAZAZI MBONA TUNALO MANAKE WATOTO WAKIUME WAMEANZA KUNG'ANG'ANIA SKETI KAMA YA DIAMOND. VIBROTHER MAN NDO KABISAA SISEMI MPAKA SKETI ZA VITENGE WATAANZA KUSHONA ZA KUFANANA NA CHIBU.
                       
                   DIAMOND DANGOTE NA SKIRT YAKE,

1 comment:

Anonymous said...

Ndo mapya mapya hayo mama,na mara nyingi nguo hizi huvaliwa kwenye matamasha tu