Thursday, May 22, 2014

DIAMOND PLATINUMZ NA HAMISA MOBETO NI WAPENZI?


Hivi huu uhusiano unaosemwa kuhusu mwanamziki Diamond na model Hamisa Mobeto ni wa kweli au wanazushiwa tu, nikawa najiuliza, kama ni wa kweli, hivi Hamisa ataweza kweli kuhandle mziki wa TEAMWEMA? huo mziki Penny na Jokate wanaujua vizuri, mh I hope hiyo issue ni ya uzushi.


NA HUYU HAPA NDO HOMA YA JIJI MWENYE MALI WEMA SEPETU DANGOTE



1 comment:

Anonymous said...

wanapenda kushobokea wapenzi wa watu si atafute wake