Saturday, May 31, 2014

MWILI WA MAREHEMU GEORGE TYSON UKIWASILI JIJINI DAR NA KWENDA KUHIFADHIWA HOSPITALI YA KAIRUKI MIKOCHENI.


               MWILI WA MAREHEMU UKIWA UMEBEBWA KWENYE JENEZA


 DADA WA MAREHEMU AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA MWILI WA KAKA YAKE  KUWASILI.

DADA WA MAREHEMU TYSON AKIWA KAZIMIA

MKE WA MAREHEMU WA NDOA MUIGIZAJI MONALISA









BIRTHDAY GIRL RACHEL KAYUNI.

 NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA SIKU HII YA LEO, ITS MY BIRTHDAY.

PICHA MPYA ZA MSIBA WA GEORGE TYSON.



Gari alilopata nalo ajali Director George Tyson na picha za saa 4 kabla ya tukio




83platnm


78platnm


94platnm


88platnm


57platnm


56platnm


21platnm


24platnm


38platnm


42platnm


115platnm


107platnm


KWA KWELI MSIBA HUU UMEWAUMA WENGI SANA KWANI GEORGE ALIKUA NI MTU WA WATU NA ALIKUA MCHAPAKAZI NA MBUNIFU SANA.
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI AMEEE.

Friday, May 30, 2014

JACKLINE WOLPER KATISHERRR SANAA KWENYE HILI....

Tayari ipo sokoni
Hii movie hapo juu inaitwa Tom Boy, yani huwa Napata uvivu kuziangalia movie zetu za bongo kwasababu waschana mara nyingi wanaringaringa badala ya kuigiza kwa hiyo huwa naangalia movie za Wema Sepetu na JB tu kwasababu huwa naona wako real... LAKINI JANA NIMEBADILI MAWAZO, JAMANI NIMEANGALIA HIYO MOVIE HAPO JUU YA TOM BOY, YAAANI JACKLINE WOLPER KAJUA KUITENDEA HAKI NAFASI YAKE JAMANI, YANI WOLPER SIKUJUA KAMA UNAWEZA KUKAMUA KIASI HIKI.

WOLPER AKIWA JIKE


PICHA YA CHINI WOLPER AKIWA DUME

Yaani kwa mtu asiyemjua Wolper akaona hiyo movie angesema Wolper ndo yuko vile kumbe bidada kajua tu kuvaa uhusika, yani mapozi sasa ya kiume kabisa, ile sauti sio nzito lakini alijua kuikaza balaa, mi mwanzoni nilijua ataforce sauti ya kiume ili nije nimchambe lakini hakuforce kuongea kwa sauti nzito aliongea sauti ya kawaida ila iliyokua imesimama, sasa kwenye kimtia VITASA mshenga ndo nilikua hoi, na sehemu nyingine iliyoninoga ni pale DUME JIKE WOLPER lilipopewa habari kwamba lina ujauzito, uwiii Wolper aisee umetisha mbaya yaani acha wakuzushie msagaji maana kwa jinsi ulivyokamua mule lazima wengine wahisi yale ndo maisha yake, ni kama bi mwenda alivyokamuaga kwenye uchawi mpaka akitembea wakawa wanamzomea wanamuita mchawi.

Sehemu nyingine niliyoipenda ni jike dume lilivyomwambia mama yake aache vyombo vitaoshwa na mkwe mama akajua mkwe atakae kuja ni mwanaume kumbe jike dume linazungumzia demu mwenzake, Muhogo mchungu na Mama mashaka kama kawa wale ni siwezi hata kuwapima uigizaji wao manake wale ni wakaree wa toka Enzi, na MSHENGA nae noma balaa, Jackie nimekupenda sana kwenye hii movie,

HONGERA SANA MTUNISY MAANA WEWE NDO MWANDISHI WA STORY BONGE LA STORY NA ULIKATA KIU YOTE HASA ULIVYOAMUA KUTUONYESHA MPAKA KWENYE MAISHA YA NDOA YA JIKE DUME.



LULU MICHAEL SAMBAMBA NA KIM KARDASHIAN, HAACHWI NYUMA MTU HAPA..............






Huyu Kim Kardashian ntakwenda nae sambamba kila fashion anayopiga lazima na mi nijibu mapigo, naona leo kaacha nyonyo wazi ngoja niende kwa director Joan nikaangalie kama hii nguo ya nyonyo wazi  naweza kuipata ila mi ntampiga bao ye kavaa bra mi bra ntaacha home, nikiikosa ntaisaka mpaka niipate, KAISAKA WEEE NA YEYE HUYO HAPO CHINI KAMA MNAVYOMUONA NYONYO NJE.





                                          CHEZEA LULU WEEEEEEEEEEEEE





IRINE UWOYA NA MAHABA NILIPUE KAMA BOKO HARAM

                            IRINE NA MSAMI

Muigiza mwenye mvuto wa haja wa Bongo movies ambaye ni MKE WA NDOA YA KANISANI, hivi sasa anamahusiano na Serengeti boy anayeitwa Msami, Serengeti huyo inasemekana yupo kwenye kundi la vipaji la THT, Irine ambaye mumewe wa ndoa anayeitwa Hamad Ndikumana anayeishi Rwanda, inasemekana kafa kaoza kwa Serengeti boy wake huyu wa sasa, Irine alipotea sana kwenye vyombo vya habari lakini sasa karudi kwa kasi na hii habaree, picha na hizi habari nilizisikia lakini nikawa nashindwa kuzirusha manake nilijua wanasingiziwa ikizingatiwa Irine ni mke wa mtu, lakini kilichonifanya nirushe ni baada ya kusikia Irine akihojiwa na Sudy Brown wa clods fm na akakubali tena akasema atadumu na Serengeti wake na anampenda sana, Sudy alimuuliza je huyu utadumu nae au na yeye utakaa nae muda mfupi kama ulivyokaa na mumeo Ndikumana Irine akajibu huyu atadumu nae muda mrefu kwasababu kampenda.


     IRINE ACHA KUJIDANGANYA, UTAKAE DUMU NAE NI MUMEO MAANA MMEFUNGA NDOA YA KANISANI KWA HYO WEWE NA NDIKU NI MPAKA KIFO KIWATENGANISHE.  hata ukizunguka na viserengeti, Kilimanjaro na ndovu, still wewe unahesabika ni mke wa mtu.

Tuesday, May 27, 2014

PICHA ZA MSIBA WA RACHEL HAULE NYUMBANI KWAKE.

8rchl


6rchl


3rchl





11rchl
18rchl


MAREHEMU RACHEL HAULE.


Inasemekana kwamba marehemu atazikwa alhamis yeye pamoja na motto hapa hapa Dar, na pia mwili utaagwa katika viwanja vya leaders club.


picha na Millard.