Hii movie imechezwa na mkali wao BRAD PITT, ilitoka mwezi wa 6 mwaka huu, director wa hii movie ni Marc Forster na imesambazwa na PARAMOUNT PICTURES. Movie hii imetokana na na novel moja ya mwaka 2006 inayoitwa THE SAME NAME ambayo mwandishi wake ni Max Brooks.
WORLD WAR Z
Huyu ni Brad Pitt, mume wa Angelina Jolie kwa wale wasiomfahamu,
No comments:
Post a Comment