Friday, October 4, 2013

RUSH HOUR 4 INASUBIRIWA KWA HAMU


Hapo the black dudeeeee ni my meen CHRISS TUCKER na jamaa wa pembeni CHACKIE CHAN, hawa jamaa walicheza movie inaitwa RUSH HOUR part one mpaka three, humo ndani ya movie ni full kuvunjika mbavu kwasababu ya Chriss Tucker, watu wanaitaka rush hour 4 kwa nguvu zote, ila habari zilizopo ni kwamba kunaweza kukawa na rush hour 4 japo Jackie Chan anatamani acheze movie nyingine kabisa na Chriss Tucker, yani rush hour iwe mwisho part 3.

No comments: