Wednesday, October 9, 2013

UNAIJUA HII NYOTA INANG'AA WAPI?

 Huyu anaitwa Hrithik Roshan ni Bollywood star anayefanya vizuri sana.


                                                              HRITHIK ROSHAN
 
 
 Hrithik ameshacheza movie nyingi sana, ila leo nakuletea hii movie yake mpya inayoitwa KRISH ambayo inatoka mwezi ujao tarehe moja. movie hii ni part 3, tayari part one na two zilishatolewa na kufanya vizuri sana kwenye mauzo. Kama ni mfwatiliaji wa BONGO MOVIE, utakua unamjua IRINE UWOYA. basi alipomzaa mwanae aliamua kumpa jina la KRISH, jina hili lilitokana na hii movie ambapo aliyebeba uhusika wa jina la KRISH ndo huyu Hrithik Roshan, hivyo Uwoya alimpenda sana huyu Hrithik au Krish  jina la kwenye movie na kuamua kumpa jina la Krish mwanae.

                                                          KRISH MOVIE
 Director wa movie hii ni RAKESH ROSHAN baba mzazi wa huyu Hrithik Roshan. yani baba katengeneza movie na kuidirect halafu mwanae ndo kacheza kama staring. nadhani ukiangalia hii picha ya chini ya huyu baba utaona anavyofanana na mwanae kwenye picha ile ya kwanza, macho na pua sawasawa.

                                                RAKESH ROSHAN
 
MWENYE MAONI NIANDIKIE rahelimacdonald@gmail.com

No comments: