huyu ni bibi GENEVIEVE NNAJI muigizaji bei mbaya Nigeria, hiyo pochi aliyoivaa ni CHANEL ya $4000 na hapo bidada ndo anatuonyesha.
Mwanadada juu ya gari ni muigizaji mwenye mvuto bongo IRINE UWOYA, hapo anaonyesha gari yake mpya aina ya RANGE ROVER .........
Muigizaji wa bongo movie LULU yeye ameonyesha mtu mwenye thamani kuliko wote bibi yake mpenzi.
Wapenzi wasioachana WEMA SEPETU na DIAMOND wao wanatuonyesha madini ya njano waliyoyatandaza kwenye miili yao.
UNACHAKUTUONYESHA?
No comments:
Post a Comment