hii picha ya chini ni marehemu mzee Sepetu akiwa na mkewe mama mzazi wa Wema Sepetu.
Tanzanitemovies blog inampa pole Wema na familia yake, na inawaombea kwa Mungu ili wapate nguvu katika kipindi hichi kigumu wanachopitia. nitaendelea kuwajulisha yatakayokua yanaendelea katika msiba huu wa mpendwa baba yetu mzee Sepetu. BWANA AMETOA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIBARIKIWE. AMINA
No comments:
Post a Comment