AISHWARYA RAI BATCHAN
Hii picha ya chini ni yeye Enzi zake za u model
siku hizi imekua kawaida kwa mtu mwembamba kuonekana ndio mwenye mvuto na mnene kuonekana kama hana mvuto. kiukweli kila mtu anapendeza jinsi alivyo, haina haja ya kujitesa kwa kutumia kila namna ili ukonde, tunatakiwa tujue tu kwamba tunahitaji mazoezi na mpangilio mzuri wa msosi ili tue na afya njema, na si kujikondesha kwa kujinyima virutubisho au kutumia ma chemical ili tuwe wembamba haifai.
Aishwarya kanenepa lakini sura yake ndio imezidi kuonekana nzuri. nimempenda kwa kweli.
No comments:
Post a Comment