Thursday, October 24, 2013

PENELOPE CRUZ, CAMERON DIAZ & BRAD PIT IN THE SAME MOVIE.....HII SII YA KUKOSA

Hii movie inaitwa THE COUNSELOR inatoka kesho huko Marekani, director wa hii movie ni RIDLEY SCOTT. ndani ya movie yupo shemeji yetu kwa Angelina Jolie .... BRAD PITT, pia yupo aliyekua wifi yetu kwa Justin Timberlake...... CAMERON DIAZ, lakini pia aliyekua wifi yetu kwa Tom Cruz......... PENELOPE CRUZ naye atakua kajaa tele.


                                                         COVER LA MOVIE
 
 
                                         CAMERON DIAZ & PENELOP CRUZ
 
 
                                                           BRAD PITT AKIWA MZIGONI

Basi wale wapenda movie najua hii mtakwenda kuitafuta manake ni movie nzuri hataree.

No comments: