GEORGE CLOONEY & SANDRA BULLOCK
hapa Sandra na George wakiwa kwenye premiere ya hii movie ya GRAVITY.
Movie hii ya GRAVITY ni movie ya dakika 90 na director wake ni ALFONSO CUARON.
hapa Sandra na George wakiwa wanatembea huku wakila story mbili tatu si unajua tena ma legend wakikutana.
GEORGE CLOONEY ameigiza movie nyingi ikiwemo THREE KINGS, FROM DUSK TILL DAWN na MICHAEL CLAYTON na bibie SANDRA BULLOCK ameshacheza movie kama SPEED mwaka 1994 hizi movie matata mno, na pia amecheza kwenye movie inaitwa CRASH mwaka 2004 na THE HEAT hii ni ya mwaka huu.
No comments:
Post a Comment